Challenge:

Khanga Design Challenge

Mapenzi na pingu.

vee jay


Title

Mapenzi na pingu.

Name: Artist/Group

Victoria Joseph.

Describe your idea (200 Words)

ukatili wa kijinsia ni kati ya matatizo yanayowakumba wanandoa hasa wanawake. utafiti wa mwaka 2010 unaonesha kuwa mmoja Kati ya wanawake wawili walioolewa hupata unyanyasaji aidha wa kijinsia, kihisia au wa kutumia mabavu kutoka kwa wanaume. usemi wa "ndoa ni mapenzi" umebeba ujumbe wa kustawisha ndoa kwa upendo kati ya mwanaume na mwanamke(mume na mke). hii itasaidis kupunguza malezi mabovu kwa watoto na pia italeta amani zaidi katika jamii kwa sababu familia bora ndio msingi imara wa jamii nzima.

Khanga Tagline

Ndoa ni mapenzi.

Comments