Challenge:

Khanga Design Challenge

Nani Atakua Sauti Yao

Amani Mkweta


Title

Nani Atakua Sauti Yao

Name: Artist/Group

AmaniMkweta

Describe your idea (200 Words)

Kila siku wamama wanapoteza maisha wakati wa kujifungua kwa sababu mbalimbali. Takwimu zinaonyesha kuwa katika kila vizazi hai 1000 kuna vifo 45.

Khanga Tagline

Wamama wana haki

Comments