Challenge:

Khanga Design Challenge

Kataa Ugomvi, Kubali Upendo

angel emmanuel


Title

Kataa Ugomvi, Kubali Upendo

Name: Artist/Group

Angela Mulugi

Describe your idea (200 Words)

Utafiti wa mwaka 2010 (TDHS) umebaini kuwepo kwa ukatili wa kisaikolojia, kimabavu, kingono na kiuchumi unaohusisha kunyang’anywa mali. Kanda ya Kati inaongoza kwa ukatili wa aina zote ambapo kanda ya Nyanda za juu kusini zinaongoza kwa ukatili wa kingono, Kanda ya ziwa inangoza kwa ukatili wa mabavu. Pia utafiti unaonyesha namna wasichana wa Temeke pia wanaathirika na unyanyasaji wa kijinsia kuwepo ukatili dhidi ya watoto, takribani mtoto mmoja kati ya watatu wasichana na mmoja katika saba wavulana wamefanyiwa ukatili wa ngono kabla ya kufikia umri wa miaka 18. Kupita khanga hii ina tuma ujumbe kwa wasichana wengine kuwa majasiri na kutokuogopa kusema namna wanavyo nyanyasika na uonevu huu.

Khanga Tagline

Mwili wangu sio uwanja wa mazoezi

Comments