Challenge:

Khanga Design Challenge

TOKOMEZA VURUGU ZA NDOA

Doreen Lyimo


Title

TOKOMEZA VURUGU ZA NDOA

Name: Artist/Group

Doreen Lyimo

Describe your idea (200 Words)

Unyanyasaji wa kijinsia ni kitendo cha ukatili kuhusu jinsia ambacho kinaweza kusababisha madhara/ maumivu ya kimwili au kisaikolojia kwa mtu ikiwa ni pamoja na vitendo vya kutishia, kulazimisha, kunyima uhuru bila kujali vimefanyika kisiri au kwenye kadamnasi.

Khanga Tagline

Raha ya dunia ni kupendana

Comments