Nilinde nikulinde
Title
Nilinde nikulinde
Name: Artist/Group
Hassan Mohammed
Describe your idea (200 Words)
Nilinde nikulinde.unyanyasaji wa kijinsia utaisha endapo watu wataamua kulindana MFANO, unapoona mtoto wa mwenzio anafanyiwa vitendo ambavyo si sahihi (kukeketwa au kupigiwa kwenye ndoa yake) kwenye jamiii basi nimuhimu kumrekebisha ikishindikana toa taarifa sehemu husika kama USTAWI WA JAMII nk. Kwa kufanya hivyo unaweza kupunguza au kumaliza tatizo la unyanyasaji wa kijinsia kwa 85%
Khanga Tagline
KHANGA