Challenge:

Khanga Design Challenge

UZAZI WA MPANGO NA MITALA

Doris


Title

UZAZI WA MPANGO NA MITALA

Name: Artist/Group

Doris Daudi

Describe your idea (200 Words)

Wanawake 2 Kati ya 10 Wana wake wenza kulingana na Tanzania demographic health survey 2015/2016. Katika wilaya ya temeke imekua ikiongoza kua na watu wengi Sana wanaokua na wake wenza, hii imetoHivyo basi limejikuta eneo la temeke kupata athari kubwa Sana ikiwepo kuongezeka kwa hali ya kimasikini kwenye eneo hilo,watoto wa mitaani kuongezeka ni kutokana na ukosefu Wa elimu ya uzazi Wa mpango ya wakazi wa Temeke kua duni kulingana na sehem nyngine. Na changamoto anazopitia mwanamke ndio maana anamua kuolewa sehem ambayo ina mke tayari ili kuweza kukidhi mahitaji yake.

Khanga Tagline

TUITUNZE YETU FAMILI,WAKE WENGI SI UTAJIRI

Comments