Challenge:

Khanga Design Challenge

Mwili wangu wa thamani

John Bays


Title

Mwili wangu wa thamani

Name: Artist/Group

Saleem Siwila

Describe your idea (200 Words)

Rushwa ya ngono inazidi kuwa tatizo kubwa duniani Tanzania pia ni jamii inayozungukwa na changamoto hiiwatu wengi waliopo madarakani hutumia mabavu kurubuni mabinti majumbani mashuleni makazini na kuwalazimisha kua nao kimapenzi bila ridhaa yao Rushwa ya ngono huleta madhara mengi kama vile mimba za utotoni magonjwa ya zinaa mimba za kutokutarajiwa hivo basi tunatakiwa kukemea na kukataza rushwa ya ngono watoto wenye miaka 20-24 idadi 230 wote hawa waliweza kushawishiwa kupata rushwa ya ngono

Khanga Tagline

Mwili Wangu wa thamani

Comments