Umoja katika kupambana na unyanyasaji wa kijinsia.
Title
Umoja katika kupambana na unyanyasaji wa kijinsia.
Name: Artist/Group
Mosses Luhanga
Describe your idea (200 Words)
Unyanyasaji wa kijinsia ni tatizo kubwa wilayani Temeke. Takwimu zinaonesha wanawake 8kati ya 10 wamepata unyanyasaji wa kijinsia. Unyanyasaji huu hutokea kati ya wanawake na wanaume na ili kutokomeza unyanyasaji huu ni lazima kushirikisha wanaume. Mchoro unaonesha wanaume na wanawake wameshikana katika mapambano hayo, pia pembe nyeupe katika boader zinaonesha sote tunahitaji ulinzi au hali bora ya amani, na dot nyeusi inaonesha hatari hii iko karibu kwa wote waume kwa wake. na maua mekundu 2 ktk mafungu ni kuonesha data hizo 8/2 na hata katika mchoro mkubwa wa kati.
Khanga Tagline
Kwa pamoja tutakutokomeza mnyanyasaji.