Challenge:

Khanga Design Challenge

PIGANA PAMOJA NAMI

Alicia Evance


Title

PIGANA PAMOJA NAMI

Name: Artist/Group

ALICIA EVANCE

Describe your idea (200 Words)

Lengo langu kuu katika kuchagua ujumbe huu ni kwamba, matatizo yote yanayomkumba mwanamke ndani ya jamii iwe ni unyanyasaji wa kijinsia, ukeketaji ama tatizo la hedhi, mwanamke hawezi kupambana peke yake. Kama mkazi wa Temeke na utafiti uliofanyika na kuonesha wanawake ama jinsia ya kike inatakiwa kuinuliwa kati ya jamii hii, naona kwamba jamii lazima iungane pamoja katika hili kwa maana mila hizi au imani hizi zipo ndani ya jamii zetu hata binti akiamua kuikataa yeye peke yake hatoweza, hivyo basi, wakulima kwa wafugaji, wasomi kwa wasiosoma, mapadri kwa mashehe pamoja na viongozi wa nchi sauti zetu zinahitajika katika mapambano haya. Tuungane pamoja katika kuijenga jamii moja huku mwanamke akiondolewa vikwazo vyote vinavyomzuia kusnga mbele hakika lengo litafanikiwa.

Khanga Tagline

NGUVU YA PAMOJA, HURAHISISHA MAPAMBANO.

Comments