Challenge:

Khanga Design Challenge

Niache Niamue

doreen makundi


Title

Niache Niamue

Name: Artist/Group

doreen makundi

Describe your idea (200 Words)

ubakaji ni tatizo ambalo linawakumba wasichana wengi hapa nchini asilimia 45 ya wanawake wameweza kufanyiwa ukatili. Ukatili huu unafanywa na wanaume kutokana na kupenda mtelemko na nimetumia ganda la ndizi kumwakilisha huyo mtenda wa ukatili huo. Kulingana na takwimu kutoka TDHS ya mwaka 2010 kati ya wasichana watatu, msichana mmoja amefanyiwa ukatili wa kijinsia.

Khanga Tagline

wewe ganda la ndizi kunipata huwezi

Comments