Challenge:

Khanga Design Challenge

Sisi sote ni Sawa

Witness Mausa


Title

Sisi sote ni Sawa

Name: Artist/Group

Witnes Mausa

Describe your idea (200 Words)

Meseji yangu katika khanga inabeba ujumbe wa unyanyasaji wa kijinsia wa mwanamke, kwa hyo nikaona ni bora nikatengeneza khanga kufikisha ujumbe kwa jamii au kwa wanaume wanao nyanyasa wake zao na kuwafanyia vitendo vya ukatili. Lengo langu kuu ni mwanamke kuweza kuthaminiwa na si kufanyiwa vitendo vya ukatili. Chanzo kikubwa cha data yangu ni taarifa ninazozipata au ninazoziona katika jamii yangu, jinsi wanawake wanavyonyanyaswa hivyo nahimiza jamii na wadau mbalimbali wawajibike na wabadilike kupitia ujumbe wa khanga hii ili mwanamke aweze kuheshimiwa.

Khanga Tagline

Ijue thamani yangu kwako

Comments