Challenge:

Khanga Design Challenge

BORA BABA AU BABA BORA

Grace Msisi


Title

BORA BABA AU BABA BORA

Name: Artist/Group

GRACE JOSEPH

Describe your idea (200 Words)

Ukatili wa kihisia nijambo ambalo limejificha na kuto kuonekana kwaurahisi kulinganisha naukatili wakijinsia mwingine, Takwimu iliyo fanyika wilaya ya temple 2017 kutoka ofisi ya mganga mkuu imeonyesha asilimia 90% ya tatizo hili limeendelea kukuwa nakuongezeka kulinganisha namiaka ya 2016-14 , Ukatili huu hujitokeza hususa mama anapo jifungua watoto wakike zaidi ya moja, mzazi wakiume yani(baba) kwaasilimia kubwa hawa fulahii watoto wakike wanapo zaliwa hata wengine hupelekea kuwakana na Kuwakataa watoto was, lakini kwakukosa mapenzi yababa nakukataliwa hupelekea watoto hawa wakike kukosa haki zao zamsingi tofauti nawilaya ya temeke maeneo mengine yamjini navijijini kuna mabinti wengi ambao wananyimaa haki yakwenda shule Kabisa nawengine kusoma mwisho nikidato channe pekee tukikinganisha na idadi yawatoto wakiume wanao Malia mbaka elimu ya juu(chuo Kuku) ,Madhala nimengi yatokanayo na ukatili wakijinsia kama tisa9 Kati ya kumi10 ya watoto wakike au binti na mamazao hupata changamoto hii hupelekea kudumaza uwezo wakufikili, mimba na ndoa zautotoni, kujiingiza kwenye madangulo nikwasababu anakuwepo mtaani mudawote, lakini pia mama anaweza pata madhala pia kama vile kushindwa kufanya shughuli zakimaendeleo kutokana namsongo wamawazo ambao niukatili wakihisia ambao usababishwa na waumezao, Hivyo jamii inapaswa kutambua nakutoka gizani kutambua nakujua mchango wa mwanamke katika jamii yake bila kuwapa upendeleo jinsia ya kiume ili kuandaa nakutengeneza baba bora na mama bora kwenye ngazi ya familia,jamii na taifa

Khanga Tagline

SISI NI WA THAMANI

Comments