Unyanyasaji wa kijinsia
Title
Unyanyasaji wa kijinsia
Name: Artist/Group
Alphonsina John
Describe your idea (200 Words)
Unyanyasaji wa kijinsia ni 45% katika jamii vitendo vya unyanyasaji vinarudisha maendeleo nyma. Katika picha hii inaonyesha mwanamke anavopata manyanyaso kipindi cha ujauzito na picha ina onyesha mwanaume anampiga ngumi mpaka damu inatoka. Kutokana na kupigwa mwanamke anapata unyanyasaji wa maamuzi katika familia. Mwanaume anataka apewe maamuzi katika familia. Pia unyanyasaji wa kijinsia upo latina makunidi note ya watoto, vijana na wazee wana pata uyanyasaji huo. Pia nimetumia neno kwenye design ya khanga "Tupendane walimwengu" kuwafikkia walimwengu kuwa tunatakiwa kuwa na Upendo bila manyanyaso kila itu ana haki ya knish Latina jamming kutoa maamuzi katika jamii.
Khanga Tagline
Tupendane Walimwengu