early marriage
Title
early marriage
Name: Artist/Group
miriam
Describe your idea (200 Words)
ndoa za mapema zimekua kikwazo kwa maendeleo ya wanawake ambao wanataka kusonga mbele katika kuindeleza jamii inayowazunguka.wanawake wengi waliopata ndoa katika umri mdogo wamekua wakikumba na changamoto ambazo kwa namna moja au nyingine wameshindwa kuzitatua kutokana na sababu zifuatazo; -ukosefu wa elimu katika changamoto wanazozipitia, -matatizo ya kisaikolojia ambayo wanayapata kutoka changamoto wanazopitia nk. Takwimu iliyofanywa na TDHS ya mwaka 2015-16 inaonyesha -
Khanga Tagline
niache niwe huru