Challenge:

Khanga Design Challenge

Nitunze Ule Kesho

primus evarist


Title

Nitunze Ule Kesho

Name: Artist/Group

Primus Evarist

Describe your idea (200 Words)

Wilaya ya Temeke ni moja ya kati ya semehu zilizo tajwa kuwa na matatizo mengi yanayowakabili raia wake hasa wanawake na watoto. Mchoro wangu unamuonyesha msichana aliye vaa nguo za seule akiwa na moto begani huku akiwa mjamzito. Kwa mujibu wa data zilizo kusanywa na uchunguzi uliofanyikishwa mabinti vijana waliokuwa sheleni wenye umri kati ya miaka 15-19 sawa sawa na 27% kaaika wilaya ya temeke ni wajawazito na wengine wana watoto teyari, inatajwa kuwa katika watoto ama mabinti 13 kati Yao ni wazazi bilakutegemea. Ni muhimu ku famamu umuhimu wa kuwa na afya nzuri kwa uzazi ulio salama, kwani taifa ya leo likiokoka na malanga haya kwakupewa elimu hasa kwa nia hihi ya khanga litawa saidia kuepukana na mamba za utotoni. Wazazi sana passa kushika hatamu katika kufunza watoto wao juu ya masala haya hatarishi.

Khanga Tagline

Tunda langu bichi. Likiiva utaila.

Comments