Challenge:

Khanga Design Challenge

Wana wa kike tujitambue

Christina Michael


Title

Wana wa kike tujitambue

Name: Artist/Group

Christina Michael Mwita

Describe your idea (200 Words)

MIMBA ZA UTOTONI Kwa mujibu wa DREAMS Tanzania 1/2% of woman)vijana wadogo wenye umri kati ya miaka 12-19 wanapata watoto katika mwaka 2015 katika wilaya hii ya temeke idadi ya wanawake na watoto wapatao 9,148 wamajiingiza katika biashara ya mapenzi na kusababisha mimba zisizotarajiwa

Khanga Tagline

Wana wa kike tujitambue

Comments