Challenge:

Khanga Design Challenge

Nguvu siyo mabavu

Husna Kigonjole


Title

Nguvu siyo mabavu

Name: Artist/Group

Husna Kigonjole

Describe your idea (200 Words)

Nataka wadau wanapovaa khanga hii iwe kama onyo kwa wengine, na wote wasiotambua thamani ya mwanamke, watambue kwamba ni mtu mwenye thamani duniani.

Khanga Tagline

Natambua thamani yangu

Comments