Challenge:

Khanga Design Challenge

Mwache Mwafunzi Asome

imani Kihwele


Title

Mwache Mwafunzi Asome

Name: Artist/Group

Imani

Describe your idea (200 Words)

Kesi nyingi za ubakaji huwatokea watoto wadogo wa shule na kila siku zinazidi kuongezeka. Njia pekee ya kuzipunguza ni kuhakikisha adhabu kali zinazoainishwa na sheria kuchukua mkondo wake pale muhusika anapokamatwa.

Khanga Tagline

Ogopa Kugusa Ukinasa Hutoki

Comments