Challenge:

Khanga Design Challenge

Kuwalinda ni Jukumu Letu

Lilian Lyimo


Title

Kuwalinda ni Jukumu Letu

Name: Artist/Group

Lilian Lyimo

Describe your idea (200 Words)

Unyanyasaji was kijinsia unakua kwa kasi katika jamii yetu kutokana na dhana ya kwamba kila mzazi alinde mwanaye wakati kila mmoja anajukumu la kumlinda kila mtoto aliye kwenye jamii yetu.Utafiti unaonyesha kuwa wasichana wilayani Temeke wanaathirika na unyanyasaji was kijinsia pia kuwepo kwa ukatili dhidi ya watoto takribani mtoto mmoja kati ya watatu wasichana na mmoja kati ya saba ni wavulana wamefanyiwa ukatili wa ngono wakiwa chini ya umri was miaka 18.Hivyo bhasi Mimi,wewe na yule tunajukumu la kuwalinda, kuwapenda na kuwapaheshima kwani heshima siyo kwa mkubwa peke yake NILINDE NA UKINIHESHIMU ITAPENDEZA

Khanga Tagline

Nilinde Na Ukiniheshimu Itapendeza

Comments