Challenge:

Khanga Design Challenge

Chanzo cha matatizo

Latifah Seleman


Title

Chanzo cha matatizo

Name: Artist/Group

wedy fashion

Describe your idea (200 Words)

Wazo langu juu ya ubunifu Wa hii khanga nimetumia design ya maua rangi nyekundu ya naashiria upendo na rangi ya njano kuonyesha thaman ya binti kwamba anahitaji kulelewa vyema. Hii ni nikutaka kubadilisha hali halisi ni kusaidia kuleta suluhisho la mimba za utotoni wilaya temeke hivyo kusaidia kupungguza idadi ya watoto wa mitaani , watumiaji wa madawa ya kulevya na pia kusaidia kupunguza uhafifu wa huduma ya afya ya uzazi hivyo kusaidia kupunguza vivyo vya mama na mtoto. Pia kuleta maendeleo ya jamii kutokana na ukweli kwamba watoto wengi hukatishwa masomo yao pindi wapatapo mimba shuleni hii itasaidia kupata taifa lenye watu makini na kutuletea maendeleo kwa taifa kutokana na takwimu za mwaka 2004-05 vijana wengi 15-19 27% walikuwa na mimba lakini pia takwimu inaonyesha kushuka kwa mimba za utotoni kuwa 23% ambapopia vijijini kuna 32%na mijini 19% kwahiyo uelewa wa watu wa mijini ni mkubwa pia kuliko vijijinini wito wangu kwa familia, walimu na jamii kwao ujumla kutambua thamani ya malezi bora kwao mtoto hivyo kumjengea kujiamini natambua umuhimu wake Kama mtoto na wajibu wake , pia wito kwa viongozi Wa serikali kutoa elimuu ya kutosha juu ya afya ya uzazi kwa vijana chini ya miaka 20 takwimu zinaonyesha vijana wenye elimu uwezekano Wa kupata mimba ni mdogo ambapo 52%walikuwa na elimu na 10% hawakuwa na elimu hii no takwimu 2015-16 juu ya mimba za utotoni

Khanga Tagline

usinibebeshe nibebe

Videos

Comments