Challenge:

Khanga Design Challenge

AFYA YA UZAZI

Mrisho Kasala


Title

AFYA YA UZAZI

Name: Artist/Group

MRISHO KASSARA

Describe your idea (200 Words)

Kila mwanamke 1 kati ya 5 nchini Tanzania ana mahitaji yasiofikiwa ya uzazi wa mpango. Hivyo kutokana nachangamoto hiyo elimu ya uzazi inatakiwa kutolewa. Katika design yangu nimewatumia wamama watano katka hao watano mmoja katika hao ndiye anaye pata matibabu ya uzazi. Pia nimetumia rangi ya njano na nyeusi na blue kuweka utofati na rangi na maelezo kupitia design yangu. Rangi ya njano nimemeonyesha mwanamke ambaye anapata huduma ya uzazi. Pia rangi ya njano nimeitumia kwenye viduala vya ndani ya khanga ilikuweka utofauti wa mwanamke anayepata huduma ya uzazi. Rangi nyeusi Nimetumia kuonyesha wanawake ambao hawapati huduma katika masuala ya uzazi. Pia rangi nyeusi nimeitumia keenye viduala vya ndani kuonesha idadi ya wanawake wanne ambao hawapati huduma katika masuala ya uzazi. Rangi nilizo zitumia nirangi ambazo zinafaa sana ata mdada au mwanamke hakiwa ameivaa khanga hii inavutia sana

Khanga Tagline

NAMI NAHITAJI HUDUMA

Comments