Challenge:

Khanga Design Challenge

Nitunze Nilinde Mimi ni Mama

John Bays


Title

Nitunze Nilinde Mimi ni Mama

Name: Artist/Group

John Bays

Describe your idea (200 Words)

[11:55 PM, 12/22/2017] Khanga 50: Idadi ya ukatili wa kimwili kwa watoto jinsia ya kike limekua jambo la hatari kwa jamii yetu utafiti uliofanywa na mwaka 2016 na Tanzania demographic and health survey unaonesha kati ya 0-59 wamefanyiwa ukatili wa kimwili pia utafiti huo huo mwaka 2016 wilaya ya temeke unaonesha wanawake wa 4 kati ya 10 dar es salaam wenye umri wa miaka 20 adi 24 waliolewa wakiwa chini ya umri wa miaka 18 pia ktk mchoyo wangu nimemtumia tausi kama njia ya kumuelezea binti kuwa tukimtunza na kumthamini kama tausi basi tutakua tumetunza taifa nmeonesha maua yenye rangi ya orange yakiwa 18 ni idadi ya umri wa miaka yao waliolewa chini ya 18 pia nimeonesha maua ya blue na kijani yenye idadi 62 ni kati ya miaka 5_9ni jukumu letu mimi na ww kumlinda mtoto wa kike na kumthamini kwani ni mama wa badae na viongozi wa taifa

Khanga Tagline

Nitunze ning'are

Comments