Challenge:

Khanga Design Challenge

UKATILI WA KIJINSIA

Justina Thomas


Title

UKATILI WA KIJINSIA

Name: Artist/Group

JUSTINA T MPOLLOGO

Describe your idea (200 Words)

Katika khanga yangu nimetumia mizani kuiwakilisha jamii iliyobeba jinsia mbili ambazo hazijabalance.Upande uliokolezwa na kuinuka juu unawakilisha wanawake ambao jamii imeshindwa kuwapa haki na kuwaona kama viumbe dhaifu, ripoti ya 2017 kutoka kwa mkemia mkuu kuhusu ukatili wa kijinsia inaonesha wanawake nane kati ya kumi ni wa hanga, hii ni sawa na sehemu kubwa iliyoinuka juu na kushindwa kubalance sababu asilimia themanini imeathiriwa kwa manyanyaso.Katika wilaya ya Temeke tatizo kuu ni unyanyasaji wa kijinsia, mwanamke ni mtu wa kutukanwa, kupigwa na hata kubaguliwa katika fursa za kimaendeleo kama vile uongozi..mwanamke athaminiwe pia kama mwanaume, kupigwa ovyo na kutukanwa iwe mwisho

Khanga Tagline

HAKI SAWA ,TUKEMEE UKATILI WA KIJINSIA

Comments