Challenge:

Khanga Design Challenge

Afya ya Uzazi wa Mpango.

maggy zabby


Title

Afya ya Uzazi wa Mpango.

Name: Artist/Group

Magreth Claud

Describe your idea (200 Words)

kupanga ni kuchagua. Uzazi wa Mpango ndio utakao wawezesha wawili (wanandoa) kuweza kuwa na Afya bora ya Uzazi na kuchagua idadi ya watoto wawatakao kutokana na uwezo wao wa kimaisha. Na hii ndio njia mojawapo itakayoweza kupunguza watoto wa mitaani ambao wanakumbwa na matatizo kama ya ubakaji, unyanyasaji wa kijinsia, madawa ya kulevya na biashara za ngono. Picha ya kati ni wawili (wanandoa), alama nyeusi ni mimba zisizotarajiwa na alama za duara zenye mstari mweupe kati ni dawa za uzazi wa mpango kama njia mojawapo ya Uzazi wa Mpango. Muundo ama marembo (picha na maneno) yaliyo katika khanga hii yanafikisha ujumbe unaohusu afya ya Uzazi hivyo kusaidia kupunguza matatizo yatokanayo na afya ya uzazi na kuleta mabadiliko chanya.

Khanga Tagline

Kupanga ni kuchagua.

Comments