Challenge:

Khanga Design Challenge

Tuache Ukatili

Ramadan dJuma


Title

Tuache Ukatili

Name: Artist/Group

Ramadhani Juma

Describe your idea (200 Words)

Utangulizi Maana ya ubakaji Aina za ubakaji Mambo yanayo sababisha ubakaji Athali za ubakaji Hitimisho: Ubakaji ni kitendo chakutumia nguvu kumuingilia mtu au kufanya mapenz kwa ulazima , kwa kutumia nguvuau litisho bila lidhaa ya muhusika. Kuna ubakaji wa aina mbalimbali mf. Ubakaji wa watoto,wanawake,wazee na hata wana ndoa Ubakaji hussababishw na mambo mbalimbali kama vile ulevi wa pombe ,utumiaji wa madawa ya kulenvya mfano uvutaji wa bangi ,imani za kishilikina,na tama za mwili(michepuko) . Kuna athali nyingi zinazo sababishw na ubakaji baazi ya adhali hizoni kuachiwa ulemavu wa kudumuhasa watoto wadogo vifo,magojwa ya zinaa kamavile kaswendwe,kisonono na hata kuambukizwa kwa virusi vya ukimwi (VVU) na mimba za utotoni na zizizo tarajiwa . Vilevile athali nyingine ni kuathilika kisaikologia kwa yale yaliyo fanyiwa ubakaji nhuwa na chuki, kujitenga nahata kujitenga na hata kupelekea kujiua. Vitendo hivi vya ubakaji huweza kufanyika mitaani ,njiani,shuleni,maofisini na majumbani.mala nyingi vitendo hivi vinakua vikifanyika kwa siri ,na huweza kufanywa na mtu mmoja au nkikundi cha watu. Kwa kuhitimisha, naweza kusema ubakaji ni janga linalo kuwa kwa kiasi katika jamii zetu maana hauhagui lika na vilevile ripoti za uba kaji zime zimekua zikuongezeka kila kukicha hasa kwa upande wa watoto wamekua wakinyanyaswa sana kijinsia na watu wazima. Napenda kutoa rai selikali itoe elim ya kutosha kw jamimi ili kuchukua taha thari pia kutoa ushilikiano kwa vyombo husika pale linapo tokea tatizo la mtu kubakwa maana familia nyingi zimekua zikiona aibu na kuto chukua hatua baabda mwana familia kubakwa

Khanga Tagline

Mwanamke Halazimishwi

Comments