Challenge:

Khanga Design Challenge

BIASHARA YA NGONO

Agness nyahoga


Title

BIASHARA YA NGONO

Name: Artist/Group

Agness

Describe your idea (200 Words)

Biashara ya nguno. Nimeamua kuchagua hii topic kwa lengo la kutoa elimu haswa kwa wadada ambao wao wanakuwa wakitegemea miili yao kama kitega uchumi ama njia ya kuwaingizia mapato. Hivyo basi nimeonelea nivyema kutoa elimu kupitia hiii challenge ya kanga, kwa kuwa zitavaliwa na wahusika wakuu na itakuwa ni rahis ujumbe kufika kwa haraka zaid.

Khanga Tagline

Babu wee kujiuza kitu gani, usifanye wala hufanani

Comments