Challenge:

Khanga Design Challenge

Thamani ya mwanamke

Dorothy millanga


Title

Thamani ya mwanamke

Name: Artist/Group

Tumaini Millanga

Describe your idea (200 Words)

Thamani ya mwanamke haiwezi elezewa kwa mdomo.mwanamke ni chombo Imara katika jamii.mwanamke husimama kwenye nguzo nyingi za maisha,ya kwake na maisha ya watu wengine.waswahili husema kila mwanamme aliyefanikiwa huwa na mwanamke imara pembeni yake.kauli Hii inathibitisha ukweli wa kwamba mwanamke ni mlezi wa Dunia. Thamani ya mwanamke haiwezi elezwa kwa mwisho wa mapana yake. Mwanamke ni mzazi,mlezi,mama,mshauri,mwenye akili,utimamu,na uwezo mkubwa wa nguvu za kimaumbile.thamani ya mwanamke inapotoshwa na watu wachache na kumuonesha mwanamke Hana thamani ,mwanamke amka,kila lifanywalo na wengine na wewe pia waweza fanya mwanamke ni lulu ya dunia.Kanga yangu nimeibuni kuonyesha uwezo na thamani ya mwanamke ambayo wengine hawaioni n kupelekea wanawake kujenga Hali ya kutojithamini,vaa kanga hii sasa waonyeshe na wanadili fikra ya mtazamo dume.

Khanga Tagline

Mwanamke tambua thamani yako

Comments