Challenge:

Khanga Design Challenge

UTU WANGU

Christina Muhulo


Title

UTU WANGU

Name: Artist/Group

CHRISTINA MUHULO

Describe your idea (200 Words)

Unyanyasaji ni hali kunyanyasika ama kunyanyaswa ,Mwanamke amekuwa mhanga mkubwa wa kunyanyasika hasa kimwili katika mahusiano na ndoa ,na amekuwa mvumilivu kwa vipigo na minyanyaso yote ili kulinda familia yake na amani ila yeye binafsi hana amani kabisa na ndoa yake,kutokana na takwimu zilizopatikana zinaonyesha mwanamke bado ananyanyasika mno hivyo anahitaji ukombozi, Hivyo kwa kutumia takwimu hizo kama zinavyoonekana hapa kwenye khanga kwamba katika kila ndoa kumi ,ni wanawake wanne tu ndio wapo salama katika ndoa zao na wanafuraha ndani ya ndoa zao na wengine sita wananyanyasika katika ndoa zao, na ni mwanaume mmoja katika wanaume kumi ambae ananyanyasika. na wanaume tisa wote wanafuraha. pia nimetumia alama za jinsia kuwasilisha takwimu zangu alama za jinsia ya kike zimesimama kama mwanamke na alama za jinsia kiume kama mwanaume.

Khanga Tagline

ULINGO WA MAHABA

Comments