Challenge:

Khanga Design Challenge

Usinioe Mimi Bado Mdogo

Hadija R Mohammed


Title

Usinioe Mimi Bado Mdogo

Name: Artist/Group

Dedee Designs

Describe your idea (200 Words)

Ndoa za utotoni ni ndoa zilizofanywa kwa mabinti chini ya miaka 18,sababu zilizipelekea ni umasiki,mila na desturi (wamasai) n.k.baada ya ndoa madhara yake ni haya kubeba majukumu yasiyolingana na umri wake (mama) ambapo kisaikolojia hakupaswa kuyabeba majukumu hayo (malezi),mimba zisizofuata mpangilio,vifo wakati Wa kujifungua,ongezeko la Wa to to wa mtaani,mayatima, familia za mzazi mmoja na maambukizi ya hiv.Utafiti uliofanywa 2016 na Tanzania demographic and health survery yaan (tdhs) unaonesha wanawake 4/10 dar es salam wenyr miaka 20-24 waliolewa chini ya miaka 18,utafitihuu unaonesha dhahili kuwa ndoa za utotoni zipo na zinaendelea nikiwa km kijana miongoni mwa zao la ndoa hizo sina budi kulikemea na kuwaomba wasichana wengine. Kukataa ndoa hizo kwa madhara yake ni Makubwa ama kwa hakika msemo usemao "Konzi unipigalo haliendani na udogo wa kichwa changu " umebeba taswili na maana kubwa kwa inaeleza 1.maumivu ya aina zote wa yapatayo watoto hao 2.mizigo wabebeshwayo bila. Kusahau 3.majukubu yasiyo ya umri wao wanatemeke,serikali,na watanzania tupinge vikali ndoa hizi madhara ni makubwa

Khanga Tagline

konzi unipigalo haliendani na udogo wa kichwa changu

Comments