Challenge:

Khanga Design Challenge

Ukatili wa kijinsia sasa basi

Rebeca Marando


Title

Ukatili wa kijinsia sasa basi

Name: Artist/Group

Rebecca

Describe your idea (200 Words)

Hii ni kutokana na utafiti ulioonesha kwamba kati ya wanawake 10, 8 wanafanyiwa ukatili. Kwenye picha hapo kila item moja ni alama ya mwanamke kwenye ulimwengu wake (jamii yake)....hao nane kwenye jamii zao wanasongwa na vitu vingi hadi wanapotezwa....lakin kuna wawili wako vizuri wanaonekana na hawajasongwa na vitu vinavoendelea kwenye jamii yao inayowazunguka

Khanga Tagline

Majanga Basi

Comments