Challenge:

Khanga Design Challenge

BIASHARA YA NGONO

ROMANA GIBSON


Title

BIASHARA YA NGONO

Name: Artist/Group

ROMANA GIBSON

Describe your idea (200 Words)

Ongezeko la vitendo vya biashara ya ngonobado vinaelezwa kuchangia na kiasi kikubwa cha hali ngumu ya kiuchumi ambayo wasichana wadogo wenye miaka 16 wanajishugulisha na biashara hiyo hali inayo hatarisha afya zaotangu utotoni Temekeni miongoni mwa maeneo yanayo shamiri kwa biashara hiyo kwa kutokana na hali ngumu ya maisha walio kuwa nayo katika kujipatia mahitaji muhimu ya kila siku . hivyo kupelekea kwa kukutana na changamoto mbalimbali ikiwemo kupigwa na kutukanwa

Khanga Tagline

AFYA YANGU NI MTAJI WANGU

Comments