Challenge:

Khanga Design Challenge

Madawa Sasa Basi

everyne daud


Title

Madawa Sasa Basi

Name: Artist/Group

Eve

Describe your idea (200 Words)

Madawa ya Kulevya yanaathiri sana Vijana kila kukicha. Bila juhudi za pamoja vijana wengi watazidi kuteketea na hivyo kupoteza nguvu kazi ya taifa. Ni muhimu kila mwanajamii kujua kuwa ana wajibu wa kuelimisha vijana kujiepusha na janga hili kwa ajili ya maendeleo yao ya baadae.

Khanga Tagline

Naumia Nikiona Madawa Yanakuathiri

Comments